Ut̪akapokamilika, mrad̪i huu unat̪arajiwa kufaid̪i walimu, wanafunzi na vyuwo vyot̪ʰe viwili (UoK & MSU) katika ushirikiyano wa kimasomo, kiut̪afit̪i katika Kiswahili bali katika mawand̪a yot̪ʰe yanayoleta faid̪a kwa ummah.
T̪ayari kuna mazungumzo ya ushirikiyano baina ya vyuwo hivi viwili kuhusu ubad̪ilishanaji wa wanafunzi na walimu, ushirikiyano kuwaleta wanafunzi wa MSU kuja kusoma Kiswahili na Ut̪amad̪uni wake huku UoK, na matarajiyo ya ushirikiyano kukuwa kufikiya mawanda yote ya kiushirikiyano.
Isit̪oshe, UoK inajiweka t̪ayari katika kujitangaza kuwa mahala pa masomo ya Kiswahili kama Lugha ya Kigeni kwa ulimwengu mzima ikizingat̪iwa kuwa Kiswahili ni Lugha ya Ulimwengu sasa.